HIVIPUNDE: Producer Pancho Latino afariki dunia. Tazama video akiokolewa kutoka baharini

311
0
Share:
Share this
  • 689
    Shares

Mtayarishaji wa Muziki nchini Tanzania kutoka Studio ya B’Hitz, Pancho Latino amefariki dunia leo jioni katika Kisiwa cha Mbudya jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Pancho amefariki dunia baada ya kuzama baharini. Bado hajafahamika kama matayarishaji huyo mkongwe alikuwa akiogelea ama la.


Miongoni mwa nyimbo kali alizozitayarisha Pancho Latino enzi za uhai wake ni pamoja na Bye Bye ya John Makini, Sukuma ya Mabeste.

Mwili wa matayarishaji huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Lugalo kwa uchunguzi zaidi.

Comments

error: Content is protected !!