Itazame hapa video mpya ya A.Y Ft. King Kiki- Safari

299
0
Share:
Share this
  • 179
    Shares

Baada ya kimya cha muda, mkongwe wa muziki wa Bongo, Ambwene Yesaya, maarufu A.Y ameachia video ya wimbo wake aliomshirikisha nguli wa muziki King Kiki.

Wimbo huo unaokwenda kwa jina la Safari, unaelezea visa mbalimbali na matukio yanayotokea katika maisha. Itazame hapa chini video hiyo.

Comments

error: Content is protected !!