Makundi ya alama za barabarani pamoja na maana zake

7514
0
Share:
Share this
  • 2.7K
    Shares

Alama za barabarani ni moja ya mambo ambayo dereva hufundishwa wakati anapokwenda shule kwa ajili ya kujifunza udereva. Alama hizi zimegawanyika katika makundi mbalimbali, ambapo, zipo zinazotoa ishara ya kitu unachotakiwa kufanya, usichotakiwa kufanya au tahadhari.

Madereva wengi hutozwa faini ama kujikuta katika matatizo makubwa kwa ama kwa kupuuza alama hizo au kwa kutokufahamu ishara inayotolewa husika.

Hapa chini ni mgawanyiko wa makundi mbalimbali ya alama za barabarani, pamoja na maana zake. Ni matumaini yetu kwamba, baada ya kusoma hautofanya tena makosa. Washirikishe na wengine elimu hii ili kupunguza vifo vitokanavyo na ukiukwaji wa alama za barabarani.

1499623527452.png1499623562831.png1499623609569.png1499623643978.png1499623686552.png1499623725947.png1499623775508.png1499623809207.png1499623862134.png1499623906064.png

Comments

error: Content is protected !!