Picha: Hospitali anayotibiwa Mbunge Tundu Lissu nchini Ubelgiji

781
0
Share:
Share this

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, nchini Ubelgiji ambako Mbunge Tundu Lissu anaendelea na awamu ya tatu ya matibabu yake, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma. Leuven ni moja ya hospitali mashuhuri barani Ulaya. Ilianzishwa mwaka 1080 na kuanza kufundisha mwaka 1426.

Comments

error: Content is protected !!