Video: Muonekano wa wasanii mbalimbali wa Tanzania kabla hawajawa maarufu

740
0
Share:
Share this
  • 1.3K
    Shares

Wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo wanamuziki, watangaza na Ma-DJ wangi wamefahamika baada kazi zao kufanya vizuri, lakini sio kwamba kabla ya hapo hawakuwepo. Walikuwepo wakipambana kuhakikisha wanafika hapo walipo leo.

Lakini wengi wao tumewafahamu baada ya kufika hapo walipo leo. Wengi wao hawafahamiki wakati wakiwa wadogo au kabla hawajawa maarufu kama walivyo sasa walikuwa na muonekano gani.

Baada ya kutazama picha hizi za wasanii mbalimbali wa Tanzania, utaamini kuwa fedha hubadilisha muonekano wa mtu. Wasanii hawa baada ya kupata fedha na kukua, wamebadilika tofauti na walivyokuwa udogoni.

Hapa chini ni video yenye picha za wasanii mbalimbali wa Tanzania ikionesha muonekano wako wakiwa wadogo au kabla hawajawa maarufu.

Comments

error: Content is protected !!