Video: Zari na Wema katika ngoma mpya ya Rostam (Roma na Stamina)- Hivi Ama Vile

1299
0
Share:
Share this
CMTL Group

Baada ya kuachia video yake mwenyewe hivi karibuni, Roma mkatoliki ameachia video ya wimbo wake mwingine pamoja na Stamina.

Wasanii hawa wanaofahamika kama watani wa jadi hujiita Rostam yani muunganiko wa majina ya Roma na Stamina. Wimbo huu unakwenda kwa jina la Hivi Ama Vile. Utazame hapa chini;

Comments

error: Content is protected !!